Viungo vya mwili (Body Parts)
Sikio (Ear)
Macho (Eye)
Uso (Face)
Pua (Nose)
Midomo (Lips)
Meno (Teeth)
Kinywa (Mouth)
Ulimi (Tongue)
Mkono (Arm)
Nywele (Hair)
Kichwa (Head)
Kidevu (Chin)
Bega (Shoulder)
Kifua (Chest)
Tumbo (Stomach)
Matako (Buttocks)
Goti (Knee)
Kiwiko (Elbow)
Kisigino (Heel)
Kucha (Nails)
Shingo (Neck)
Kidole cha mkono (Finger)
Kidole cha mguu (Toe)
Nyayo (Foot)
Miguu (Legs)
Kiganja (Hand)
Ndevu (Beard)