Vyakula na Vinywaji (Food & Drink)
Maji (Water)
Bia (Beer)
Wali (Rice)
Maziwa mgando (Sour milk)
Samaki (Fish)
Nyama (Meat)
Mkate (Bread)
Mahindi (Corn)
Mtama (Millet)
Mayai (Eggs)
Ndizi (Banana)
Chungwa (Orange)
Embe (Mango)
Pera (Guava)
Limao (Lemon)
Tipisi (Peach)
Tufaha/Epo (Apple)
Zabibu (Grapes)
Nanasi (Pineapple)
Tikiti maji (Watermelon)